iqna

IQNA

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani/1
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Ibrahim Arjun alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar ambaye aliandika vitabu vingi vya taaluma za Kiislamu, kikiwemo kitabu kuhusu namna Uislamu unavyohimiza watu kuishi pamoja kwa amani.
Habari ID: 3475901    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/09